Nenda kwa yaliyomo

Elikonida

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Elikonida (Thesalonike, Ugiriki, karne ya 3 - Korintho, Ugiriki, 244 hivi) alikuwa bikira Mkristo ambaye aliteswa vikali chini ya gavana Pereni na mwandamizi wake Yustini akakatwa kichwa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya kaisari Gordiani[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake ni tarehe 28 Mei[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.