Kristofa wa Lisia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kristofa, mchoro mdogo katika Westminster Psalter, 1250 hivi.

Kristofa wa Lisia (kwa Kigiriki Ἅγιος Χριστόφορος, Ágios Christóforos; alifariki Licia, leo nchini Uturuki, 251 hivi) ni mtakatifu anayeheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mfiadini wa dhuluma ya kaisari Decius[1][2][3].

Hata hivyo, habari nyingi zinazosimuliwa juu yake si za hakika[4][5][6][7].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Julai[8], 9 Mei[9] au siku nyingine[10]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. David Woods, "St. Christopher, Bishop Peter of Attalia, and the Cohors Marmaritarum: A Fresh Examination", Vigiliae Christianae, Vol. 48, No. 2 (Jun., 1994), p.170
  2. D.H. Farmer, The Oxford Dictionary of Saints (3rd ed.: Oxford, 1992), 97-98; or the note by V. Saxer in A. di Berardino (ed.), Encyclopedia of the Early Church I (New York, 1992), 165. 
  3. T.D. Barnes, The New Empire of Diocletian and Constantine (Cambridge, MA, 1982). ku. 65–66. 
  4. "CATHOLIC ENCYCLOPEDIA: St. Christopher". www.newadvent.org. 
  5. ""St. Christopher", Lives of Saints, John J. Crawley & Co., Inc.". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-12. Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  6. Shin, Kyung-Sook (2014). I'll Be Right There. Other Press, LLC. ISBN 9781590516744. Iliwekwa mnamo 2015-08-09. [...] the Christian Christopher can also be seen as a combination of Atlas and Hermes of Greek mythology. 
  7. http://www.santiebeati.it/dettaglio/64200
  8. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN|88-209-7210-7)
  9. Ὁ Ἅγιος Χριστοφόρος ὁ Μεγαλομάρτυρας. 9 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  10. https://st-takla.org/Saints/Coptic-Orthodox-Saints-Biography/Coptic-Saints-Story_879.html

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Bouquet, John A. (1930). A People's Book of Saints. London: Longman's. 
  • Butler, Alban (1956). Thurston, Herbert J.; Attwater, Donald, wahariri. Butler's lives of the saints. New York: Kenedy. 
  • Cunningham, Lawrence S. (1980). The meaning of saints. San Francisco: Harper & Row. ISBN 0-06-061649-0. 
  • de Voragine, Jacobus (1993). The golden legend: readings on the saints. William Ryan, trans. Princeton, NJ: Princeton Univ. Press. ISBN 0-691-00865-5. 
  • Weinstein, Donald; Bell, Rudolph M. (1982). Saints and society: the 2 worlds of western Christendom, 1000–1700. Chicago: Univ. of Chicago Pr. ISBN 0-226-89055-4. 
  • White, Helen (1963). Tudor Books of Saints and Martyrs. Madison: University of Wisconsin Press. 
  • Wilson, Stephen, mhariri (1983). Saints and their cults: studies in religious sociology, folklore, and history. Cambridge: Cambridge University Press. ISBN 0-521-24978-3. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.