Etbini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Etbini (alifariki Senlis, Bretagne, Ufaransa, 600 hivi) alikuwa shemasi kutoka ukoo maarufu ambaye alikwenda kuishi kama mkaapweke hadi kifo chake[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.