Vedasto wa Arras

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Vedasto akipewa daraja takatifu.

Vedasto wa Arras (pia: Vedastus, Vaast, Waast, Gaston, Foster; 453Arras, Pas-de-Calais, 540) alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Ufaransa) kwa miaka zaidi ya 40. Alikuwa ametumwa huko na Remi wa Reims wakati mji ulipokuwa umeangamizwa, akainjilisha mfalme Klovis akiingiza Wapagani wengi katika Kanisa Katoliki[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.