Remigius wa Reims

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Remigius akimbatiza Clovis I, mchoro wa Master of Saint Gilles, 1500 hivi (National Gallery of Art, Washington, D.C.)
Sanamu ya Mt. Remigius huko Simpelveld, Uholanzi.

Remigius au Remi wa Reims, (kwa Kifaransa: Rémi au Rémy; Cerny-en-Laonnois, karibu na Laon, Picardy, 437Reims, Champagne, 13 Januari 533) alikuwa askofu wa Reims (Ufaransa) anaheshimiwa kama mtume wa Wafaranki. Tarehe 25 Desemba 496 alimbatiza mfalme Clovis I na kwa njia hiyo alivutia Wafaranki wengi katika Ukristo, jambo muhimu sana katika historia ya Kanisa na ya Ulaya kwa kuwa hilo lilikuwa kabila la kwanza la Wagermanik kuingia Kanisa Katoliki bila kupitia Uario halafu lilitawala sehemu kubwa ya Ulaya magharibi na kuunda ustaarabu wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu[1][2]
October 1 (translation of relics)[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Great Synaxaristes: Kigezo:Gr icon Ὁ Ἅγιος Ρεμίγιος Ἐπίσκοπος Ρημῶν. 13 Ιανουαρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  2. 2.0 2.1 January 13. The Roman Martyrology.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Remigius wa Reims kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.