Antidi wa Besancon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antidi wa Besancon (alifariki karibu na Besancon, Ufaransa, 470 hivi) alikuwa askofu wa 15 wa mji huo.

Aliuawa na Wagerumanik, inasemekana kwa hukumu iliyotolewa na Kroko, mfalme wa Wavandali [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Juni[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.