Hukumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hukumu (kutoka neno la Kiarabu) ni uamuzi unaotolewa na hakimu au mtu mwingine mwenye mamlaka katika kesi au shauri.

Pia inaweza kuwa tamko au amri iliyotolewa na mamlaka ya juu, hata Mwenyezi Mungu.

Maarufu sana katika dini mbalimbali ni hukumu ya mwisho itakayotolewa siku ya kiyama.

Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hukumu kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.