Godric wa Finchale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Godric.

Godric wa Finchale (au Goderiko) (Walpole, Norfolk, 1065 hivi – Finchale, 21 Mei 1170) alikuwa kwanza mfanyabiashara wa kimataifa, halafu mkaapweke nchini Uingereza.

Ni maarufu kwa upole aliokuwanao kwa wanyama na kwa nyimbo na tungo zake nyingine.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Reginald of Durham, "Life of St. Godric," in G. G. Coulton, ed. "Social Life in Britain from the Conquest to the Reformation" (p.415) Cambridge: Cambridge University Press, 1918. – digital copy
  • Frederick Buechner, "Godric," 1981, ISBN 0-06-061162-6, a historical novel.
  • Entry for "Godric", first edition of the Dictionary of National Biography.
  • Victoria M. Tudor, "Reginald of Durham and St. Godric of Finchale: a study of a twelfth-century hagiographer and his subject", Reading PhD thesis, 1979.
  • Victoria M. Tudor, "Reginald of Durham and Saint Godric of Finchale: learning and religion on a personal level," "Studies in Church History," 17, 1981.
  • Susan J. Ridyard, "Functions of a Twelfth-Century Recluse Revisited: The Case of Godric of Finchale," in Belief and Culture in the Middle Ages: Studies Presented to Henry Mayr-Harting. Eds. Henry Mayr-Harting, Henrietta Leyser and Richard Gameson (Oxford, OUP, 2001), pp.
  • Francis Rice, rector of St Godrics "The Hermit of Finchdale: Life of Saint Godric" Pentland Press ISBN 1-85821-151-4
  • Trend, J. B. (1928), "The First English Songs", Music & Letters 2: 111–128, JSTOR 726705 
  • Deeming, Helen (2005), "The Songs of St Godric: A Neglected Context", Music & Letters 86: 169–185, doi:10.1093/ml/gci031 
  • Rollason, David; Harvey, Margaret; Prestwich, Michael, eds. (1998), Anglo-Norman Durham, 1093–1193, Boydell & Brewer, ISBN 0-85115-654-1 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.