Nenda kwa yaliyomo

Norfolk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Norfolk nchini Uingereza

Norfolk ni wilaya ya Uingereza kusini-mashariki. Imepakana na Bahari ya Kaskazini upande wa mashariki halafu na wilaya za Lincolnshire, Cambridgeshire na Suffolk.

Asili la jina ni zamani za Waanglia katika Uingereza waliokuwa na vitengo viwili yaani "Watu wa kaskazini" (northern folk = Norfolk) na watu wa kusini (southern folk = Suffolk).

Makao makuu ya wilaya ni mji wa Norwich. Wilayani kuna wakazi 816,500.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]