Vinsenti Romano
Mandhari
Vinsenti Romano (Torre del Greco, Campania, Italia, 3 Juni 1751 – Torre del Greco, 20 Desemba 1831), alikuwa padri mwanajimbo wa Kanisa Katoliki aliyefanya uchungaji kama paroko, akiwajibika sana katika malezi ya watoto na huduma kwa wafanyakazi na wavuvi[1].
Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 17 Novemba 1963, halafu tarehe 14 Oktoba 2018 Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu .
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hagiography Circle
- Saints SQPN
- Blessed Vincenzo Romano Archived 14 Novemba 2018 at the Wayback Machine.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |