Arjeo, Narsisi na Marselino

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arjeo, Narsisi na Marselino (kwa Kilatini: Argeus, Narcissus na Marcellinus; walifariki 320) walikuwa ndugu askari wa Dola la Roma waliouawa Cori, karibu na Roma, Italia[1] au Tomi (leo Constanta, nchini Romania) kwa ajili ya imani yao ya Kikristo[2].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Januari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Martyrologium Romanum
  2. Monks of Ramsgate. “Argeus, Narcissus and Marcellinus”. Book of Saints, 1921. CatholicSaints.Info. 30 July 2012
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.