Arialdo wa Milano
Mandhari
Arialdo wa Milano (Italia Kaskazini, 1010 hivi - 1066) alikuwa shemasi wa Kanisa Katoliki aliyepinga kwa nguvu usimoni na maadili mengine mabovu ya wakleri[1][2].
Kutokana na juhudi hizo kwa ajili ya nyumba ya Mungu, hatimaye aliuawa kwa mateso makali na wakleri wawili [3][4].
Mwaka mmoja baada ya kifo chake, Papa Aleksanda II alimtangaza mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Julai[5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Benigni, Umberto (1911). "Archdiocese of Milan". The Catholic Encyclopedia Vol. 10. Robert Appleton Company. http://www.newadvent.org/cathen/10298a.htm. Retrieved 31 August 2010.
- ↑ Lea, Henry Charles. An Historical Sketch of Sacerdotal Celibacy in the Christian Church, J.B. Lippincott, 1867
- ↑ Campbell, Thomas (1907). "St. Arialdo". The Catholic Encyclopedia Vol. 1. Robert Appleton Company. http://www.newadvent.org/cathen/01707b.htm. Retrieved 31 August 2010.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/59700
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- (Kiingereza) Archdiocese of Milan at the Catholic Encyclopedia
- (Kiitalia) Sant' Arialdo di Milano
- (Kiitalia) Sant’ Arialdo da Carimate
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |