Sirili wa Eliopoli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Sirili wa Eliopoli (alifariki Eliopoli, Finisia, leo nchini Lebanoni, 362) alikuwa shemasi ambaye kwa juhudi zake dhidi ya Upagani aliuawa katika dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi [1].

Kwanza aliteswa sana na wahusika walifikia hatua ya kula ini lake[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Machi[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.