Theodoreto wa Kuro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Theodoreto wa Kuro (kwa Kigiriki Θεοδώρητος Κύρρου; 393 hivi - 458/466) alikuwa mwanateolojia muhimu wa Shule ya Antiokia aliyefafanua Biblia ya Kikristo akawa askofu wa Kuro nchini Siria (423457).

Alichangia sana mabishano katika Kanisa la karne ya 5 yaliyosababisha matamko mbalimbali na pia mafarakano. Alikuwa rafiki wa Nestori lakini hakumuunga mkono katika yote, ila alishindana na Sirili wa Aleksandria aliyekuwa na msimamo mkali dhidi ya Nestori.

Waorthodoksi wa mashariki wanamheshimu kama mwenye heri au kama mtakatifu[1].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tafsiri za maandishi yake[hariri | hariri chanzo]

  • Translations of some of Theodoret's writings can be found in Nicene and Post-Nicene Fathers.
  • A bilingual edition of the Eranistes was published by Oxford University Press in 1974.
  • Ettlinger, GH, 2003. Theodoret: Eranistes, FC, Washington, DC: Catholic University of America Press.
  • Petruccione, John F and RC Hill, 2007. Theodoret of Cyrus. The Questions on the Octateuch, Greek text and English translation, Washington, DC, Catholic University of America Press
  • RC Hill has published translations into English of the Commentary on the Psalms (2000, 2001), the Commentary on the Songs of Songs(2001), and the Commentary on the Letters of St Paul (2001)
  • István Pásztori-Kupán, Theodoret of Cyrus, (Routledge, 2006), includes full translations of On the Trinity, On the Incarnation, and excerpts from A Cure of Greek Maladies and A Compendium of Heretical Mythification.[2]
  • An English translation of the Ecclesiastical History is available as an e-book from Munseys.com Archived 11 Septemba 2016 at the Wayback Machine..
  • Bilingual editions (Greek text with parallel French translation) of several of the texts mentioned above have been published in recent years in Sources Chrétiennes.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Orthodox Dogmatic Theology
  2. Pasztori, Istvan. Theodoret of Cyrus (Paperback) - Taylor & Francis. Taylorandfrancis.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2013-10-20. Iliwekwa mnamo 14 October 2013.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.