Nenda kwa yaliyomo

Ufafanuzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ufafanuzi (kutoka kitenzi "kufafanua") ni kazi ya kueleza wazi maana ya maneno kadhaa, kwa mfano ya sheria, au vitabu vya dini, falsafa n.k.

Ufafanuzi sahihi una masharti yake unaohusu kwanza misingi yenyewe ya fani hizo.

Msimamo wa kutokubali ufafanuzi wowote unatambulisha "itikadi kali".

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ufafanuzi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.