Anastasi balozi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anastasi balozi (alifariki Tzager, Kaukazi, 662) alikuwa padri aliyetumwa na Papa kama balozi wake huko Mashariki.

Alipelekwa uhamishoni kwa ajili ya imani sahihi pamoja na Maksimo Muungamadini[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na wengineo kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 11 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.