Paskasi wa Vienne

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paskasi wa Vienne (alifariki kabla ya mwaka 441) alikuwa askofu wa 11 wa mji huo (leo nchini Ufaransa)[1].

Alijulikana kwa elimu na maadili bora yaliyofanya tangu kale aheshimiwe kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Februari[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/42420
  2. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.