Luka Kijana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Luka Kijana (896-953) katika mozaiki ya Monasteri ya Mt. Luka.

Luka Kijana (Steiris, Ugiriki, 896 - Steiris, 953) alikuwa mkaapweke mwenye karama za pekee, ambaye alianzisha monasteri[1][2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.