Valentiniano wa Koira
Mandhari
Valentiniano wa Koira (480 hivi - Chur, Uswisi, 548) alikuwa askofu wa mji huo, katika Uswisi wa leo, aliyejitosa kusaidia fukara, kukomboa waliotekwa na kuvika wasiokuwa na nguo[1] katika kipindi kigumu cha historia.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ https://www.heiligenlexikon.de/BiographienV/Valentinian_von_Chur.htm
- ↑ www.santiebeati.it/dettaglio/69700
- ↑ Martyrologium Romanum
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |