Aldetruda wa Maubeuge

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Aldetruda kati ya watakatifu mbalimbali.

Aldetruda wa Maubeuge (Cousolre, Ufaransa karne ya 7 - Maubeuge, Ufaransa, 696 hivi) alikuwa mwanamke ambaye, baada ya kufiwa mume wake alijiunga na monasteri ya Maubeuge, akaja kuwa abesi wake baada ya kifo cha mama yake mdogo Aldegunda (684)[1][2][3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu kama huyo na ndugu zao wengi[2][5], wakiwemo wazazi wake Visenti Madelgari na Vatrude.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Februari[6].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Saint Aldetrudis". Catholicsaints.info. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 Butler, Alban; Burns, Paul (Januari 1999). Butler's Lives of the Saints: vol 4. uk. 67. ISBN 9780860122531. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2016.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Saint Aldetrude of Malbod, February 25". Omnium Sanctorum Hiberniae. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/42710
  5. Godescard, Jean-Francois (1836). "Ste Aldetrude, Abbesse a Maubeuge". Vies des Pères, Martyrs, et autres principaux Saints tirées des actes originaux et des monuments... ku. 593–594. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2016.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.