Vatrude
Mandhari
Vatrude (pia: Waudru; Waldetrudis; Waltraud; Valdetrudis, Valtrudis, Waltrudis; Cousolre, Ufaransa 612 hivi - Mons, leo nchini Ubelgiji, 687 hivi), alikuwa mwanamke aliyeanzisha monasteri na kuiongoza kama abesi chini ya kanuni ya Kolumbani.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili[1].
Maisha
[hariri | hariri chanzo]Mtoto wa wazazi wa koo mashuhuri, Walbert na Bertila[2], na dada wa Aldegunda, aliolewa na Visenti Madelgari na kumzalia watoto 4 (Landeriki, Dentelini, Aldetruda na Madelberta), ambao wote nane ni watakatifu[3][4].
Watoto walipokuwa wamekua, mumewe alitawa, na miaka miwili baadaye hata yeye alijifungia upwekeni, ila alifuatwa na wanawake wengi[5].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Aline Hornaday, "Toward a Prosopography of the "Maubeuge Cycle" Saints", Prosopon Newsletter, 1996 on-line text Ilihifadhiwa 17 Januari 2021 kwenye Wayback Machine..
- ↑ Saint of the Day, April 9: Waldetrudis of Mons Ilihifadhiwa 30 Desemba 2019 kwenye Wayback Machine. at SaintPatrickDC.org
- ↑ "St. Waldetrudis" at Catholic.org
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/92760
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |