Basili wa Ostrog

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha takatifu ya Mt. Basili.

Basili wa Ostrog (kwa Kiserbokroatia Vasilije Ostroški/Василије Острошки; jina la awali Stojan Petrović Stojanović Jovanović; 28 Desemba 16101671) alikuwa askofu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Serbia kwa jimbo la Zahumlje na Herzegovina.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Basili wa Ostrog kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.