Nenda kwa yaliyomo

Beninyo wa Milano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Beninyo wa Milano (kwa Kilatini: Benignus; kwa Kiitalia: Benigno; alifariki 472) alikuwa askofu wa mji huo tangu mwaka 465 hadi kifo chake[1][2]

Katika vurugu kubwa za uhamisho mkuu wa Ulaya alisimamia Kanisa alilokabidhiwa kwa imara sana na moyo wa ibada [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Novemba[4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.