Nenda kwa yaliyomo

Uhamisho mkuu wa Ulaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya uhamisho.

Uhamisho mkuu wa Ulaya ni kipindi cha historia ya bara hilo kuanzia mwaka 300 hivi hadi 600 hivi BK[1][2].

Katikati yake, Dola la Roma Magharibi lilikoma (476) na falme mbalimbali, hasa za Kijerumaniki, zilikuja kutawala maeneo yake[3], pengine hata kwa msaada wa Dola la Roma Mashariki lililoendelea hadi mwaka 1453.

Wakazi wa Dola la Roma lote walikuwa milioni 40 hivi, kati yao wahamiaji wengi[4] labda 750,000. Lakini hayo makundi ya watu 10,000 au 20,000 kila moja yalivamia dola hilo na kulisambaratisha [5].

Matokeo yake yalikuwa mengi, makubwa, na ya kudumu.

  1. Halsall, Guy. Barbarian Migrations and the Roman West, 376–568. Cambridge University Press, 2007.
  2. "The Migration period (fourth to eighth century)", p.5 Migration Art, A.D. 300-800, 1995, Metropolitan Museum of Art, ed. Katharine Reynolds Brown, ISBN 0870997505, 9780870997501
  3. "History of Europe - Barbarian Migrations, Invasions | Britannica". www.britannica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-08-12.
  4. Giovanni Milani-Santarpia, "Immigration Roman Empire", MariaMilani.com
  5. Bury, J. B., The Invasion of Europe by the Barbarians, Norton Library, 1967.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uhamisho mkuu wa Ulaya kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.