Nenda kwa yaliyomo

Wahamaji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wabeja katika Afrika Kaskazini Mashariki.
Watuareg nchini Mali, 1974.

Wahamaji ni watu wasio na makao ya kudumu ama kwa sababu ya kuwa wawindaji-wakusanyaji, ama kwa kuwatimizia mahitaji mifugo yao katika mazingira magumu, ama kwa sababu wanazunguka daima kuuza bidhaa zao.

Mwaka 1995 walikadiriwa kuwa milioni 30-40 duniani kote.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wahamaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.