Kuro wa Konstantinopoli
Mandhari
Kuro wa Konstantinopoli (alifariki 7 Januari 712) alikuwa mmonaki huko Paflagonia, akawa Patriarki wa Konstantinopoli miaka 705-712, lakini baadaye akafukuzwa akafa ugenini[1] kwa sababu ya kutetea imani sahihi[2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[3] au kesho yake.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Vyanzo
[hariri | hariri chanzo]- The Oxford Dictionary of Byzantium, Oxford University Press, 1991.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |