Nenda kwa yaliyomo

Rafaeli Arnaiz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi.

Rafaeli Arnaiz, O.C.S.O.[1] (Burgos, Hispania, 9 Aprili 1911 - Dueñas, Palencia, 26 Aprili 1938) alikuwa kijana katika malezi awe mmonaki. Ingawa maradhi mbalimbali yalimzuia kuyafuata moja kwa moja, alistahimili yote kwa kumtegemea Mungu hadi mwisho[2][3][4].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenyeheri tarehe 27 Septemba 1992, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 11 Oktoba 2009[5].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Aprili[6].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. He embodied the order's charism and grace in a pure and intense manner and allowed himself to be led through a series of bewildering contradictions and perplexities such as sickness and war as well as him being unable to pronounce his vows – he renounced himself and his self-will. He lived with humiliation until in his death he attained the essence of monastic vows — though he was never allowed to profess them on an official level. To him, the figure of Christ was not the object of research but rather the companion of absolute love.
  2. "Saint Rafael Arnáiz Barón". Saints SQPN. 5 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "St. Rafael Arnáiz Barón". Holy See. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "Maria Rafael Arnáiz Barón". Vultus Christi. 26 Aprili 2007. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-14. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Saint Rafael Arnáiz Barón". Santi e Beati. Iliwekwa mnamo 30 Januari 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.