Modesti Andlauer

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Modesti Andlauer, S.J. (Rosheim, 22 Mei 1847 - Wuyi 19 Juni 1900) alikuwa padri Mjesuiti kutoka Ufaransa aliyefia Ukristo akifanya umisionari nchini China wakati wa Uasi wa Mabondia.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Modesti Andlauer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.