Ermes wa Roma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Ermes amechorwa nyuma, akiwa na deraya.

Ermes wa Roma (alifariki Roma, 120 hivi) alikuwa hadimu tajiri wa Roma ya Kale kutoka Ugiriki ambaye tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini.[1] [2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 28 Agosti[3]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/67810
  2. His name appears in the Martyrologium Hieronymianum as well as entries in the Depositio Martyrum (354). There was a large basilica over his tomb that was built around 600 by Pope Pelagius I. Cfr. David Farmer, The Oxford Dictionary of Saints (Oxford: Oxford University Press, 1978), 191.
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.