Nenda kwa yaliyomo

Zeno wa Maiuma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Zenoni wa Maiuma)

Zeno wa Maiuma (karne ya 4 - karne ya 5[1]) alikuwa askofu wa kwanza anayejulikana wa mji huo, bandari ya Gaza, Palestina.

Aliwajengea basilika wafiadini Eusebi, Nestabo na Zeno, jamaa zake, na hadi mwisho wa maisha yake alifanya kazi ya ufumaji ili kujipatia riziki na kusaidia fukara.[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Desemba[3].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Trombley, Frank R. (2014). Hellenic Religion and Christianization c. 370-529. Juz. la I. BRILL. ku. 274–275. ISBN 978-90-04-27677-2. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2024.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/83230
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.