Eladi wa Toledo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Eladi akitoa kwa ukarimu.

Eladi wa Toledo (alifariki Toledo, Hispania, 633) alikuwa mwekahazina wa ikulu na wa ufalme ambaye akawa mmonaki wa Kigothi na hatimaye alihudumia kama askofu mkuu wa Toledo miaka 18 ya mwisho ya maisha yake akimuachia nafasi mwanafunzi wake Ildefonso wa Toledo aliyeandika baadaye habari za maisha yake akisisitiza huruma yake kwa maskini[1] [2].

Tangu zamani anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 18 Februari[3]. [4]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Ildefonsus of Toledo, De viris illustris 7: PL 96,202
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/41470
  3. Martyrologium Romanum
  4. Paul Guérin (ed.), Vie des Saints des Petits Bollandistes, Parigi, Bloud et Barral editori, 1876, vol VII, p. 584.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

  • Alban Butler, Il primo grande dizionario dei santi secondo il calendario Casale Monferrato, Edizioni PIEMME, 2001 ISBN|88-384-6913-X
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.