Juliani Saba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Juliani Saba (yaani Mzee; 300 hivi - 377) alikuwa mkaapweke wa Osroene (leo kati ya Siria na Uturuki), ambaye tunamfahamu kupitia maisha yake yaliyoandikwa na Theodoreto wa Kuro.

Alihamia mlima Sinai alipojenga basilika ila aliacha upweke kwa muda kwenda Antiokia kupinga Uario[1].

Wafuasi wake maarufu zaidi ni Akasi, Yakobo na Asteri[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Januari [3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://vidas-santas.blogspot.com.co/2013/01/san-julian-sabas-asceta.html
  2. Fotios Ioannidis, Il monachesimo primitivo in Siria e in Palestina.
  3. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.