Tomaso wa Terreti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tomaso wa Terreti (Reggio Calabria, mwanzoni mwa karne ya 10 - Terreti, 5 Julai 1000) tangu ujanani alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki huko Terreti, Calabria[1], Italia Kusini, akawa abati wa monasteri yake [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.