Reggio Calabria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Reggio Calabria


Reggio Calabria
Majiranukta: 38°06′41″N 15°39′43″E / 38.11139°N 15.66194°E / 38.11139; 15.66194
Nchi Italia
Mkoa Calabria
Wilaya Reggio Calabria
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 186,006
Tovuti:  www.reggiocal.it

Reggio Calabria (kwa usahihi zaidi: Reggio di Calabria; kifupi hata Reggio, ingawa kifupi hicho kinaweza kumaanisha pia Reggio nell'Emilia) ni mji wa Italia Kusini katika mkoa wa Calabria.

Mji upo mita 31 juu ya usawa wa bahari.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 200,330 wanaoishi katika mji huu.

Mtume Paulo alipitia huko kuelekea Roma mwaka 61 (Mdo 28:13).

Askofu wake wa kwanza alikuwa Stefano wa Nisea ambaye alifika huko pamoja naye afadia dini mwaka 78 hivi.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Reggio Calabria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.