Nenda kwa yaliyomo

Rafaeli Kalinowski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha yake halisi (1897).

Rafaeli Kalinowski, O.C.D. (Vilnius, leo nchini Lituanya, 1 Septemba 1835Wadowice, leo nchini Polandi, 15 Novemba 1907) alikuwa kwanza askari aliyepigania uhuru wa Polandi hata akakamatwa na wakoloni Warusi akapelekwa uhamishoni Siberia, alipopatwa na tabu nyingi.

Halafu hadi kifo chake alijiunga na shirika la Wakarmeli Peku, alilolistawisha sana kama padri maarufu kwa uongozi wa kiroho wa Wakatoliki na Waorthodoksi sawia[1].

Tangu kale aliheshimiwa na waumini na hatimaye Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Juni 1983 na mtakatifu tarehe 17 Novemba 1991[2].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Maandishi

[hariri | hariri chanzo]
  • Carmelite Chronicles of the monasteries and convents of Vilnius, Warsaw, Leopolis, and Kraków
  • Translated into Polish the autobiography of St. Therese of Lisieux, The Story of a Soul
  • Wrote biography of Hermann Cohen (Carmelite) (a famous Jewish pianist, who had converted to the Carmelite Order and become "Father Augustine Mary of the Blessed Sacrament")
  • Kalinowski, Rafal, Czesc Matki Bozej w Karmelu Polskim, in Ksiega Pamiatkowa Marianska, Lwów-Warszawa 1905, vol. 1, part II, pp 403–421
  • Kalinowski, J. Wspomnienia 1805-1887 (Memoirs 1805–1887), ed. R. Bender, Lublin 1965
  • Kalinowski, Jozef, Listy (Letters), ed. Czeslaus Gil, vol. I, Lublin 1978, vol II, Kraków 1986-1987
  • Kalinowski, Rafal, Swietymi badzcie. Konferencje i teksty ascetyczne, ed. Czeslaus Gil, Kraków 1987

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Biography by Eileen Ahern, OCDS
  • Elonka's family: Pics and info about Saint Raphael - a biographical page by his great-great-grandniece, with references to several published biographies
  • (Kipoland) Polish-language page about Saint Raphael with many pictures
  • (Kiitalia) Beatification of Father Raphael Kalinowski and Brother Albert Chmielowski in Krakow (June 22, 1983)
  • Praskiewicz, Szczepan, Saint Raphael Kalinowski: an Introduction to His Life and Spirituality, 1998, ICS Publications, ISBN|0-935216-53-7
  • Blessed Raphael Kalinowski of Saint Joseph, His Life in Pictures, 1983, Rome, Postulation General
  • Gil, Czeslaus, OCD, Rafał Kalinowski
  • Monk Matthew, Saint from the Salt Mines, 1986, Mid-Suffolk Printing Company, distributed by Carmelite Book Service, Oxford
  • Sokol, Stanley (1992). The Polish Biographical Dictionary. United States: Bolchazy-Carducci Publishers. ISBN 0-86516-245-X.
  • "Miracle Clears Way for Sainthood Cause." The Catholic Sun, July 19, 1990

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.