Vilnius
Mandhari
Vilnius ni mji mkuu wa Lituanya. Una wakazi 558,165 (mwaka 2009).
Jiografia
[hariri | hariri chanzo]Eneo lake ni km² 401.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Mji ulianzishwa 1387.
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Boma la Gediminas
-
Kanisa la Mtakatifu Anna
-
Mnara wa televisheni wa Vilnius
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Lituanya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vilnius kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |