Juliani wa Sora
Mandhari
Juliani wa Sora (alifariki Sora, Lazio, Italia, 161 hivi) alikuwa Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Antoninus Pius dhidi ya imani hiyo kwa kuwa alihubiri Injili akitokea Dalmatia (leo nchini Kroatia) na kuelekea Campania[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Wa kwanza wanaadhimisha sikukuu yake tarehe 27 Januari[3], wa pili tarehe 11 Agosti[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ St. Julian of Sora Catholic Online
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/38800
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ "The Holy Martyr Julian. Commemorated July 28 (Civil Date: August 11 )". www.orthodox.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-03-01.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |