Maria Msulubiwa Di Rosa

Maria Msulubiwa Di Rosa (aliishi Brescia nchini Italia 6 Novemba 1813 - 15 Desemba 1855) alikuwa mwanamke tajiri wa mji huo ambaye maisha yake yote alihudumia maskini na wagonjwa. Kwa ajili hiyo alianzisha pia shirika la masista[1][2][3][4].
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu bikira tangu tarehe 12 Juni 1954, alipotangazwa na Papa Pius XII; kabla ya hapo Papa huyo alimtangaza mwenye heri tarehe 26 Mei 1940.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Desemba kila mwaka[5].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ St. Maria Crocifissa Di Rosa - Saints & Angels. Iliwekwa mnamo 1 November 2018.
- ↑ Saint Mary di Rosa. Saints SQPN (19 April 2019). Iliwekwa mnamo 5 July 2019.
- ↑ St. Maria Crocifissa di Rosa. Pilgrim Center of Hope. Iliwekwa mnamo 5 July 2019.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/35650
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- LE ANCELLE DELLA CARITÀ DI BRESCIA: Per la Beatificazione della loro Madre Fondatrice Maria Crocifissa di-Rosa nel I° Centenario della Congregazione 1840-1940.
- FOSSATI, LUIGI: Beata Maria Crocifissa Di-Rosa [Di Rosa] - Fondatrice delle Ancelle della Carità in Brescia 1940.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |