Alois Bertran
Mandhari

Alois Bertran O.P. (Valencia, 1 Januari 1526 - Valencia, 9 Oktoba 1581) alikuwa padri mtawa wa Shirika la Wahubiri kutoka Hispania, aliyefanya umisionari miaka 7 huko Kolombia na nchi za jirani alipotetea haki za Waindio dhidi ya wakoloni akiwainjilisha na kuwaongoa 150,000 kwa msaada wa miujiza mingi [1][2].
Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 19 Julai 1608, halafu Papa Klementi X alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Aprili 1671.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Wilberforce, The Life of St. Louis Bertrand (London, 1882)
- Touron, Histoire des Hommes Illustres de l'Ordre de Saint Dominique (Paris, 1747), IV 485-526
- Roze, Les Dominicains in Amérique (Paris, 1878), 290-310
- Byrne, Sketches of illustrious Dominicans (Boston, 1884), 1-95.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
