Espero, Zoe na wanao
Jump to navigation
Jump to search
Espero, Zoe na wanao (walifariki Atalia katika Pamfilia, leo nchini Uturuki, 127 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliteswa na hatimaye kuchomwa moto katika tanuru kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Hadrian wa Dola la Roma.
Espero na Zoe walikuwa watumwa mume na mke kutoka Italia, Kiriako na Theodulo watoto wao[1][2][3].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Sikukuu yao ni tarehe 2 Mei[4].
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ St. Exuperius - Saints & Angels.
- ↑ (Kiitalia) http://www.santiebeati.it/dettaglio/91354
- ↑ (Kigiriki) Οἱ Ἅγιοι Ἕσπερος καὶ Ζωὴ οἱ Μάρτυρες καὶ τὰ τέκνα αὐτῶν Κυριάκος καὶ Θεόδουλος. 2 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- ↑ Martyrologium Romanum
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |