Nenda kwa yaliyomo

Julia wa Corsica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Julia wa Karthago)
Mt. Julia katika kioo cha rangi cha kanisa kuu la Meaux.

Julia wa Corsica (pia: Julia wa Karthago; alifariki 439 hivi) alikuwa bikira Mkristo kutoka Karthago (leo nchini Tunisia) aliyeuawa katika kisiwa cha Corsica[1] (leo nchini Ufaransa) labda wakati wa dhuluma ya mfalme wa Wavandali, mfuasi wa Uario.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake (na pengine ya wenzake) huadhimishwa tarehe 22 Mei[2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Vincent J. O'Malley, Saints of Africa, Huntington, IN (United States), Our Sunday Visitor, 2001, OCLC 48943344, SBN IT\ICCU\LIG\0108693.
  • Antonio Fappani (a cura di), Giulia, S., in Enciclopedia bresciana, vol. 5, Brescia, La Voce del Popolo, 1982, OCLC 163181971, SBN IT\ICCU\MIL\0272993.
  • Antonio Fappani, Una santa, un villaggio: S. Giulia v.m. (PDF), a cura di Gabriele Chiesa, Brescia, La Voce del Popolo, 2011 [1984]. Ospitato su santagiulia.info.
  • Angelica Baitelli, Vita martirio, et morte di S. Giulia cartaginese crocifissa il cui gloriosissimo corpo riposa nel venerabil tempio del serenissimo monasterio di S. Giulia in Brescia, Brescia, Antonio Rizzardi, 1644, SBN IT\ICCU\VIAE\008924.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.