Makari wa Pelekete

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Makari wa Pelekete (Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, karne ya 8 - Bitinia, leo nchini Uturuki, 18 Agosti 840 hivi) alikuwa mmonaki padri, abati wa monasteri wa Pelekete, aliyedhulumiwa sana na makaisari Leo V wa Bizanti na Theofilo wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu[1], lakini aliendelea kuongoza kwa mbali wamonaki wengi.

Zinatunzwa barua zake tano kwa Theodoro wa Studion.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Agosti[2] au 1 Aprili[3][4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.