Landeriki wa Paris
Mandhari

Landeriki wa Paris (kwa Kifaransa: Landry; alifariki Paris, Ufaransa, 656 hivi) alikuwa askofu wa ishirini na nane wa mji huo kuanzia mwaka 650 hadi kifo chake.
Ili kusaidia fukara wakati wa njaa aliuza hata vyombo vya ibada[1] na kujenga hospitali[2] karibu na kanisa kuu[3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ ""About our Patron, St. Landry", St. Landry Catholic Church, Opelousa, Louisiana". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-09-25. Iliwekwa mnamo 2023-09-10.
- ↑ Harper, John N., "There are four saints named Landry in Catholicism. Who was ours?", Daily Advertiser, November 4, 2013
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/56770
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 168
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 200
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- François De Vriendt, Saint Landry, évêque de Paris, dans Dictionnaire d'histoire et de géographie ecclésiastiques, t. 30, Paris, 2008, col. 289-292. (Kifaransa)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Saints of the Day, June 10: Landericus (Landry) of Paris Archived 2012-09-30 at the Wayback Machine at SaintPatrickDC.org
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |