Ishirini na nane
Mandhari
Ishirini na nane ni namba inayoandikwa 28 kwa tarakimu za kawaida na XXVIII kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 27 na kutangulia 29.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 7.
Matumizi
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na nane kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |