Nenda kwa yaliyomo

Ishirini na tisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ishirini na tisa ni namba inayoandikwa 29 kwa tarakimu za kawaida na XXIX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 28 na kutangulia 30.

29 ni namba tasa.

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na tisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.