Thelathini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Thelathini (kutoka neno la Kiarabu) ni namba inayoandikwa 30 kwa tarakimu za kawaida na XXX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 29 na kutangulia 31.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3 x 5.

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Thelathini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.