Nenda kwa yaliyomo

Ishirini na saba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ishirini na saba ni namba inayoandikwa 27 kwa tarakimu za kawaida na XXVII kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 26 na kutangulia 28.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 3 x 3 (au 33).

Matumizi

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ishirini na saba kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.