Suksesi wa Numidia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Suksesi (kwa Kilatini: Successus) alikuwa Mkristo wa Numidia ambaye aliuawa kwa imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma katika karne ya 2 [1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Januari.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.