Abondi wa Cordoba
Mandhari
Abondi wa Cordoba (alifariki Cordoba, Hispania, 11 Julai 854) alikuwa padri aliyeuawa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa jinsi alivyomjibu kwa hoja na ushujaa hakimu aliyemuulizia imani yake hata akamkasirisha haraka. Baada ya kuuawa alitupwa aliwe na mbwa na wanyama wengine [1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |