Maria wa Mlima Karmeli
Mandhari
Maria wa Mlima Karmeli (jina la awali: Carmen Sallés y Barangueras; Vic, Barcelona, 9 Aprili 1848 - Madrid, 25 Julai 1911) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki nchini Hispania ambaye alianzisha shirika lake lijulikanalo kama Masista Wakonsesyoni Wamisionari. Alitaka shirika hilo jipya lizingatie utunzaji wa wanawake wote na kupigania haki zao[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 15 Machi 1998 na Papa Benedikto XVI mtakatifu tarehe 21 Oktoba 2012[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Desemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Saint María del Carmen Sallés Barangueras". Saints SQPN. 25 Julai 2016. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Future Spanish saint's intercession cured 3-year-old". Catholic News Agency. 1 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 23 Machi 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |